Hivi hizi taa za kuongozea magari zinazofungwa sasa hapa Dar zimefanyiwa Tathmini au ni Upigaji?

Foleni zimepungua sana baada ya kuweka flyovers...
Matumizi ya mafuta yamepungua, kodi imepungua..
Kwahiyo tumekuja na solution hiyo
Mmepiga pesa Ndefu sana.
 
Le kibamia z na m’abusa Utawezana??!😹

Ila le mutuz alikuwa anachekesha jamani kuna siku nilimzingua insta akanipa tofali 😹😹😹

Nilimsema kitambi chake, ila ana bonge la voice flani la kiumeni.!!
Si alishafariki yule mwamba?
 
Le kibamiaz na mabusu Utawezana??!😹

Ila le mutuz alikuwa anachekesha jamani kuna siku nilimzingua insta akanipa tofali 😹😹😹

Nilimsema kitambi chake, ila ana bonge la voice flani la kiumeni.!!
APEPE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…