taa za kuongozea magari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Taa za kuongozea magari TAZARA, hazifanyikazi, ni mwendo wa kuviziana wakati wa kuvuka

    Kwa siku kadhaa sasa, Taa za kuongozea magari zilizopo Tazara ambapo pia kuna njia ya kwenda Buruguni na Airport hazifanyi kazi, vyombo vya moto na watu wanaovuka kwa miguu wote wanapotaka kuvuka wanaviziana. Hii si salama kabisa, inamaana viongozi husika hawaoni hiyo hali! Kibata Zaidi njia...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RESOLVED TANROADS: Taa za Kuongozea magari Biafra, Kinondoni zinafanya kazi, ikitokea hitilafu ya umeme zinapata changamoto

    Taa za Kuongozea magari zilizopo eneo la Biafra, Kinondoni zimeanza kufanya kazi baada ya kuwa na changamoto ya kutowaka, hali ambayo ilisababisha Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa hali hiyo ni hatari kwa watumiaji. Taarifa ya Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imeeleza “Taa hizo...
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Daraja la Kijazi pale chini, ndio sehemu pekee Tanzania bodaboda wanafata sheria ya taa za kuongozea magari

    Kila nikipata daraja la Kijazi pale Ubungo kwenye mataa ndio sehemu pekee nawakuta bodaboda wanatii sheria ya taa za barabarani. Nadiriki kusema ndio sehemu pekee yenye mataa ambayo bodaboda wanatii. Unajua siri ya mchezo?
  4. uran

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi taa za kuongozea magari zinazofungwa sasa hapa Dar zimefanyiwa Tathmini au ni Upigaji?

    Wadau ni balaa sasa, Taa zinazofungwa kwa sasa kuanzia Barabara ya Gerezani, Sokoine Drive na Kilwa Road sio za kawaida. Ni nyingi kupita maelezo, nauliza tu aliyefanya Tathmini ya kuweka hizi taa amelenga nini? Kwa mfano ukitokea Gerezani kona ya Sokoine Drive Kuna msururu wa traffic light...
Back
Top Bottom