Daraja la Kijazi pale chini, ndio sehemu pekee Tanzania bodaboda wanafata sheria ya taa za kuongozea magari

Daraja la Kijazi pale chini, ndio sehemu pekee Tanzania bodaboda wanafata sheria ya taa za kuongozea magari

Kila nikipata daraja la Kijazi pale Ubungo kwenye mataa ndio sehemu pekee nawakuta bodaboda wanatii sheria ya taa za barabarani.

Nadiriki kusema ndio sehemu pekee yenye mataa ambayo bodaboda wanatii.

Unajua siri ya mchezo?
Pale ukithubutu kusogeza hata ncha ya kidole umekwenda.....
 
Kumbe Wana akili sana, wanacheza na fursa tu. Mnawabebesha sana lawama kwamba hawatii Sheria kumbe wanafanya calculation tu...usiposoma hesabu yaani mathematics ukiwa dereva barabarani utapata shida sana. Barabarani ni fursa...unavunja Sheria ukiwa na akili timamu na calculation Kali...faini unakuwa nayo...kifo unakuwa nacho....na uzima unakuwa nao maradufu
 
Back
Top Bottom