Hivi hizi tabia za katika Mabweni na Hostels za Wanafunzi wa Kiume bado zipo mpaka leo?

Hivi hizi tabia za katika Mabweni na Hostels za Wanafunzi wa Kiume bado zipo mpaka leo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
  1. Kuiba mazao ya Majirani pindi wakiishiwa Pesa / Mtonyo
  2. Kupigana ' exile ' pindi mwenzao anapokuwa na Demu
  3. Kupanga jinsi ya kumkomesha Mwalimu / Mhadhiri mnoko
  4. Kushindanisha ukubwa wa ' Uume / Mikuyenge ' hasa mnapokuwa mnaoga
  5. Kuwapa Mimba Watoto wa ' wananzengo / majirani '
  6. Kuibiana Boksa
  7. Kushindana Kugombania Mademu ana anayekuzidi basi unamchikia hadi mnamaliza masomo
Nawasilisha.
 
Hizo tabia bado zipo kabisa mkuu

NB; Mimi sio mwanafunzi ila nilishashuhudia
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Umesahau kupiga mande yule manzi mzuri mwenye maringo yani mnamtafuta mkali wa sound mnamwezesha kwa resources zote kuanzia pamba, mtonyo na kila kitu. Akifanikiwa kupiga voko siku ya mechi vidume wanaibuka.

Wadada mliowahi kutwa na dhoruba hii ebu toeni ushuhuda.
 
Mbona hizi tabia zipo sana tu mkuu???? Umesahau kipindi kile umemtandika mimba Rose wa pale Sweya?? So hata vijana wetu bado wanayafanya tuliyofanya sisi kipindi kile
 
Hee no.6 kumbe umesoma enzi za boksa, niamkie haraka sana
 
hizi lazima zipo tu ila watakuwa wanaona kama mpya ivi kumbe zilikuwepo toka miaka ya 70 huko.
 
Back
Top Bottom