Exile
JF-Expert Member
- Feb 21, 2021
- 1,477
- 3,642
Wakuu juzi tu hapa wameongeza kodi ya mita za luku kutoka 1000 hadi 1500 inamaana kwa siku za tarehe 1 ukinunua umeme wa 5000 unapata unit 9, inamaana inakua umenunua umeme wa 3500.
Kinacho sikitisha na kuchosha ni kukatika kwa umeme hovyo, sasa nyie wizara ya nishati hizo hela mnazotukata zinatumika kufanya nini kuboresha miundo mbinu au kulipana posho?
Kinacho sikitisha na kuchosha ni kukatika kwa umeme hovyo, sasa nyie wizara ya nishati hizo hela mnazotukata zinatumika kufanya nini kuboresha miundo mbinu au kulipana posho?