Tozo ya jengo haiend Tanesco boss think properlyWakuu juzi tu hapa wameongeza tozo za majengo kutoka 1000 hadi 1500 inamaana kwa siku za tarehe 1 ukinunua umeme wa 5000 unapata unit 9, inamaana inakua umenunua umeme wa 3500.
Kinacho sikitisha na kuchosha ni kukatika kwa umeme hovyo, sasa nyie wizara ya nishati hizo hela mnazotukata zinatumika kufanya nini kuboresha miundo mbinu au kulipana posho?
Wananunua mashangingi mkuuWakuu juzi tu hapa wameongeza tozo za majengo kutoka 1000 hadi 1500 inamaana kwa siku za tarehe 1 ukinunua umeme wa 5000 unapata unit 9, inamaana inakua umenunua umeme wa 3500.
Kinacho sikitisha na kuchosha ni kukatika kwa umeme hovyo, sasa nyie wizara ya nishati hizo hela mnazotukata zinatumika kufanya nini kuboresha miundo mbinu au kulipana posho?
Hiyo siyo kodi ya Jengo ni kodi ya mita za luku , ndio maana hata nyumba ikiwa na mita 5 zote zinakatwa kodi hiyo hiyoWakuu juzi tu hapa wameongeza tozo za majengo kutoka 1000 hadi 1500 inamaana kwa siku za tarehe 1 ukinunua umeme wa 5000 unapata unit 9, inamaana inakua umenunua umeme wa 3500.
Kinacho sikitisha na kuchosha ni kukatika kwa umeme hovyo, sasa nyie wizara ya nishati hizo hela mnazotukata zinatumika kufanya nini kuboresha miundo mbinu au kulipana posho?
Tozo zinaenda kweny maendeleo mengine, umeme hatuna maji kweny vyanzo! OverWakuu juzi tu hapa wameongeza tozo za majengo kutoka 1000 hadi 1500 inamaana kwa siku za tarehe 1 ukinunua umeme wa 5000 unapata unit 9, inamaana inakua umenunua umeme wa 3500.
Kinacho sikitisha na kuchosha ni kukatika kwa umeme hovyo, sasa nyie wizara ya nishati hizo hela mnazotukata zinatumika kufanya nini kuboresha miundo mbinu au kulipana posho?
Sasa wanatozaje mahala ambapo hapana ufanisi...na ili iwe nini!??Kwani tozo ya jengo inaenda Tanesco??
Au kulalamika ni ugonjwa ambao kila unaemshika Hana jinsi?..
pesa inaenda TRA bwasheesasa nyie wizara ya nishati hizo hela mnazotukata zinatumika kufanya nini kuboresha miundo mbinu au kulipana posho?
Hebu nieleweshe ,nyumba ni Moja umepangisha watu .Kila mmoja umemuekea mita yake je ? Kama mita ingekuwa Moja kwenye Hilo jengo wangekata 1500 . Ukaamua Kila vyumba viwili viwili viwe na Mita tuashumu mita zipo 3 Kila mita wanakata 1500?Hiyo siyo kodi ya Jengo ni kodi ya mita za luku , ndio maana hata nyumba ikiwa na mita 5 zote zinakatwa kodi hiyo hiyo
ni kweli, ila tozo haihusiki hapoOk lakini imekuwa kero sana suala la umeme
Asa huu ni upumbavu... Unamnyonya mgonjwa damu tena!??ni kweli, ila tozo haihusiki hapo
Ndio kero kubwa hiyoHiyo siyo kodi ya Jengo ni kodi ya mita za luku , ndio maana hata nyumba ikiwa na mita 5 zote zinakatwa kodi hiyo hiyo