Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwa kipindi kirefu sana ndani ya CCM ili mtu awe mwanasiasa bora ni lazima awe na madaraka. CCM nje ya Madaraka huwezi kuwa bora. Kwa maana nyingine ubora wa wanasiasa wa CCM unatokana na madaraka waliyonayo na wala siyo ubora binafsi.
Kwa sasa ndani ya CCM nani anaweza kusemwa kwamba yeye ndiye mwanasiasa bora?
Mwigulu Nchemba ama Nape Nauye??
Kwa sasa ndani ya CCM nani anaweza kusemwa kwamba yeye ndiye mwanasiasa bora?
Mwigulu Nchemba ama Nape Nauye??