Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwa kuwa ana madaraka siyo? Wakati wa Magufuli nani alikuwa anamsifia Samia?Kwasasa ni Mh. Samia Suluhu Hassan.
Anajua programming languages gani?January Makamba, this guy is IT expert, very eloquent and intelligent. Moreover, he is polite and humble.
Duh[emoji23]January Makamba, this guy is IT expert, very eloquent and intelligent. Moreover, he is polite and humble.
WalikuwepoKwa kipindi kirefu sana ndani ya CCM ili mtu awe mwanasiasa bora ni lazima awe na madaraka. CCM nje ya Madaraka huwezi kuwa bora. Kwa maana nyingine ubora wa wanasiasa wa CCM unatokana na madaraka waliyonayo na wala siyo ubora binafsi.
Kwa sasa ndani ya CCM nani anaweza kusemwa kwamba yeye ndiye mwanasiasa bora?
Mwigulu Nchemba ama Nape Nauye??
Kwa kipindi kirefu sana ndani ya CCM ili mtu awe mwanasiasa bora ni lazima awe na madaraka. CCM nje ya Madaraka huwezi kuwa bora. Kwa maana nyingine ubora wa wanasiasa wa CCM unatokana na madaraka waliyonayo na wala siyo ubora binafsi.
Kwa sasa ndani ya CCM nani anaweza kusemwa kwamba yeye ndiye mwanasiasa bora?
Mwigulu Nchemba ama Nape Nauye??
Kwasasa hakuna mwanasiasa bora kama Rais Samia Suluhu na 2025 lazima abebe kombe kwa kishindoKwa kipindi kirefu sana ndani ya CCM ili mtu awe mwanasiasa bora ni lazima awe na madaraka. CCM nje ya Madaraka huwezi kuwa bora. Kwa maana nyingine ubora wa wanasiasa wa CCM unatokana na madaraka waliyonayo na wala siyo ubora binafsi.
Kwa sasa ndani ya CCM nani anaweza kusemwa kwamba yeye ndiye mwanasiasa bora?
Mwigulu Nchemba ama Nape Nauye??
Wakati wa magufuli tulikua tunamuangalia magufuli sana na sasa tunamuangalia mama sana na tumegundua akitoka Nyerere ni Rais Samia Suluhu ambae ameweka record ya maendeleo kubwa ndani ya siku 554Kwa kuwa ana madaraka siyo? Wakati wa Magufuli nani alikuwa anamsifia Samia?
Nani kama mama!!Wakati wa magufuli tulikua tunamuangalia magufuli sana na sasa tunamuangalia mama sana na tumegundua akitoka Nyerere ni Rais Samia Suluhu ambae ameweka record ya maendeleo kubwa ndani ya siku 554
Hapa ndio hakuna kitu kabisa!Mwigulu Nchemba ama Nape Nauye??
January Makamba, this guy is IT expert, very eloquent and intelligent. Moreover, he is polite and humble.
Kwa kipindi kirefu sana ndani ya CCM ili mtu awe mwanasiasa bora ni lazima awe na madaraka. CCM nje ya Madaraka huwezi kuwa bora. Kwa maana nyingine ubora wa wanasiasa wa CCM unatokana na madaraka waliyonayo na wala siyo ubora binafsi.
Kwa sasa ndani ya CCM nani anaweza kusemwa kwamba yeye ndiye mwanasiasa bora?
Mwigulu Nchemba ama Nape Nauye??
Yeye siyo waya wala switch ya umemeUmeme unakatika sana,
Hiki ndio kipimo chake
Kazi yake ni ahakikishe hizo waya na switch zinafanya kazi kwa ufanisiYeye siyo waya wala switch ya umeme
Tunaye Wasira MasatuKwa kipindi kirefu sana ndani ya CCM ili mtu awe mwanasiasa bora ni lazima awe na madaraka. CCM nje ya Madaraka huwezi kuwa bora. Kwa maana nyingine ubora wa wanasiasa wa CCM unatokana na madaraka waliyonayo na wala siyo ubora binafsi.
Kwa sasa ndani ya CCM nani anaweza kusemwa kwamba yeye ndiye mwanasiasa bora?
Mwigulu Nchemba ama Nape Nauye??