Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
hata mimi ningekushauri uuze kama ofa inalipa ili uwende kujenga kwingine vinginevyo hao kukudhurumu sio shida kwao na hela ya kuendesha nao kesi huna.
mwisho wa siku watakupa bei wanayotaka watakwambia fedha nyingi imepotelea kuendesha kesi na wewe hivyo chukua kilichopo.
Kunidhulumu hawawezi.
Ila nahisi nitatia aibu na kuaibisga huu mtaa.
Nitaishije na familia yangu katikati ya haya majengo