Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
hata mimi ningekushauri uuze kama ofa inalipa ili uwende kujenga kwingine vinginevyo hao kukudhurumu sio shida kwao na hela ya kuendesha nao kesi huna.
mwisho wa siku watakupa bei wanayotaka watakwambia fedha nyingi imepotelea kuendesha kesi na wewe hivyo chukua kilichopo.
Amesema ni Wanasiasa, wauza madawa, nkWafuate wakupatie A B C za wapi wanapata hizo pesa na wewe ujenge
Hongera mkuu kama umeweza kuishi hiyo mitaa, hapo huwa tunapita tu tena spidi kubwaNiko maeneo hayohayo.
Kwani nyie watibeli mnaishi wapi? Wanaoishi huko ni wale matajiri na wenye connection na DP WorldHabari za Sabato Wakuu!
Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa.
Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria.
Hapa nashauriwa niuze hiki kiwanja kwa sababu pesa ya kujenga vyuma kama vile haiwezekaniki bila kuwa aidha mwekezaji, Fisadi, muuza madawa, mfanyabiashara wa madini, Mwanasiasa mlafi, mzee wa dili haramu na katili, mzee wa kuzamisha wavuni mipira iliyokufa na Watu wa aina hiyo.
Magari yanayopita huku ni magari mazito, Chris Lukosi huita madungu jeshi.
Hivi kweli hawa wanaojenga huku Mbweni ni Watanzania kweli? Maana umaskini wa nchi yetu na hizi nyumba huku ni mbingu na ardhi.
Santeni
Make cheke kwanza😅😅😅We endelea kukesha JF ukijifanya mwanafilosofia.
Inatia hasira sanaKuna mtu huku jf alishawahi kuweka Uzi analalamika. Yeye kajenga nyumba yake alafu kaizungushia fensi. Ila jirani yake kaja kujenga ghorofa, akiwa kibarazani kwake anayaona yote yanayoendelea kwa jamaa 😅😅😅
Kwanza kabisa tumpongeze mama Doctor Samia kwa kutuwezesha watanzania kujenga nyumba zenye sifa duniani kiasi kuwa ulaya wanatuonea wivu.Habari za Sabato Wakuu!
Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa.
Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria.
Hapa nashauriwa niuze hiki kiwanja kwa sababu pesa ya kujenga vyuma kama vile haiwezekaniki bila kuwa aidha mwekezaji, Fisadi, muuza madawa, mfanyabiashara wa madini, Mwanasiasa mlafi, mzee wa dili haramu na katili, mzee wa kuzamisha wavuni mipira iliyokufa na Watu wa aina hiyo.
Magari yanayopita huku ni magari mazito, Chris Lukosi huita madungu jeshi.
Hivi kweli hawa wanaojenga huku Mbweni ni Watanzania kweli? Maana umaskini wa nchi yetu na hizi nyumba huku ni mbingu na ardhi.
Santeni
Aki kataa dau nipo tayari kuongezeamkuu nataka niinunue hii comment naomba uifute
Sasa unataka kuchafua mazingira na kinyumba cha mbavu za mbwa🙃Na ukijenga nyumba isiyoendana na zao, wanakuhamisha.
Uzi upi huo nikacheke😀Kuna mtu huku jf alishawahi kuweka Uzi analalamika. Yeye kajenga nyumba yake alafu kaizungushia fensi. Ila jirani yake kaja kujenga ghorofa, akiwa kibarazani kwake anayaona yote yanayoendelea kwa jamaa 😅😅😅
Akajenge kwingine 😅😅Sasa unataka kuchafua mazingira na kinyumba cha mbavu za mbwa🙃
Ulinunua kiasi gani hiyo plot yako?
Nishasahau ni nani aliuweka. Jamaa aliandika kwa uchungu sana, alisema anafikiria kupauza 😅Uzi upi huo nikacheke😀
Mbweni sehemu/mtaa gani?
Mbweni sehemu gani?
Lazima wakuletee noma wakuamisheAkajenge kwingine 😅😅