Hivi humu JF hamna wachawi?

Hivi humu JF hamna wachawi?

Mimi mtaani kwangu ndiye mchawi, nimeua wengi sana hapo. Karibuni kwa shida yoyote kuhusu uchawi
 
Uchawi haufanyi kazi kihivyo
Kwani kuna kanuni na taratibu zao?huwa nawachukulia kama watu waliopoteza muelekeo na matumaini pia.Kwa mfano hapa kijijini kwetu wapo wazee fulani wanajisifu sana kwa uchawi...na wanatishia kuroga ukiwakwaza,na ni wachawi kweli!Sasa hii si inaonesha hawana miiko yeyote?
 
Uchawi ni dhana pana sana uchawi uko kwenye kila nyanja ya maisha yetu...yeyote anayejinasibu kuwa ni mchawi atakuroga huyo ni tapeli tu na mwanamazingaombwe
 
Ngoja nikakuitie babu yangu aje kukuroga, lkn sema yeye hayupo humu sasaaa
 
ulaaniwe ktk jina la yesu badala ya kuuliza waliompokea yesu unauliza wachawi
Ha ha haaa. Watu wanavisa aisee, mtu badala ya kuuliza nafasi za kazi au mambo mbali mbali anaulizia wachawi?
Au nawewe ni mchawi mnataka kupimana nguvu?
 
Back
Top Bottom