Unamaanisha niniWachawi wamo humu, kwani wabunge, wakurugenzi siyo mamember humu???
Twende kaziVipi.
kuna mtu kamtaja mbunge humuUnamaanisha nini
Hakuna kabisaa mkuu,wacha nichukue tuzo tuMkuu vipi, hadi leo bado hujapata aliekuloga?
Niroge sasaMimi mtaani kwangu ndiye mchawi, nimeua wengi sana hapo. Karibuni kwa shida yoyote kuhusu uchawi
Mimi mtaani kwangu ndiye mchawi, nimeua wengi sana hapo. Karibuni kwa shida yoyote kuhusu uchawi
All of you are not serious at allNiroge sasa
Are you ?....All of you are not serious at all
Why bro?All of you are not serious at all
Uchawi haufanyi kazi kihivyoWhy bro?
Kwani kuna kanuni na taratibu zao?huwa nawachukulia kama watu waliopoteza muelekeo na matumaini pia.Kwa mfano hapa kijijini kwetu wapo wazee fulani wanajisifu sana kwa uchawi...na wanatishia kuroga ukiwakwaza,na ni wachawi kweli!Sasa hii si inaonesha hawana miiko yeyote?Uchawi haufanyi kazi kihivyo
Uchawi ni dhana pana sana uchawi uko kwenye kila nyanja ya maisha yetu...yeyote anayejinasibu kuwa ni mchawi atakuroga huyo ni tapeli tu na mwanamazingaombweKwani kuna kanuni na taratibu zao?huwa nawachukulia kama watu waliopoteza muelekeo na matumaini pia.Kwa mfano hapa kijijini kwetu wapo wazee fulani wanajisifu sana kwa uchawi...na wanatishia kuroga ukiwakwaza,na ni wachawi kweli!Sasa hii si inaonesha hawana miiko yeyote?
Ha ha haaa. Watu wanavisa aisee, mtu badala ya kuuliza nafasi za kazi au mambo mbali mbali anaulizia wachawi?ulaaniwe ktk jina la yesu badala ya kuuliza waliompokea yesu unauliza wachawi
Hapana,aniroge tuHa ha haaa. Watu wanavisa aisee, mtu badala ya kuuliza nafasi za kazi au mambo mbali mbali anaulizia wachawi?
Au nawewe ni mchawi mnataka kupimana nguvu?
Ndio...Unataka kurogwa?