Kuna thread moja nimeona inadai JF sasa tuko 195,958!hivi humu wanakosekana wachawi?hebu waniroge nijue kama wapo!
nataka uniroge mkuu vipii?japo ID yako inaelekea elekeaHalafu ukijua.....!!
hii kaliHumu hakuna wachawi kuna majini.....
wapigwe tuu,hapo labda mkuukwani mkulu, wapigwe tu, mzee wa vijisent hawapo humu
ngoja wakuroge mkuuUchawi ndio nini?
Kuna thread moja nimeona inadai JF sasa tuko 195,958!hivi humu wanakosekana wachawi?hebu waniroge nijue kama wapo!
WANAKUJA...
Nikuroge ili iweje?
mamndenyi kwani we ni mchawi?Hivi umewaza nini hadi kufikia hilo swali.
thubutu!kwani wachawi wanatakaga picha?Simple. Weka picha yako, utaiona shuhuli nzito
naam mkuuili ajiaminishe tu na hisia zake..
mchawi hawezi kukuroga kama hajui jina la mzazi wako wa kike