Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
- Thread starter
- #41
Katavi kaanza mambo nini?mbona nahisi mawenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thubutu!kwani wachawi wanatakaga picha?
kwani mkulu, wapigwe tu, mzee wa vijisent hawapo humu
Mchawi hawezi kukuroga kama hajui jina la mzazi wako Wa kike
we taja tuu nim pm anirogewapo sana tena mmojawapo hasa yule mzandiki naijub id yake, ningekutajia ila ban itanikosesha mijadala muhimu ya katiba
we niroge kwanzaUkishalogwa halafu?
simiyu yetu hana loloteSimiyu Yetu kazi kwako muonyeshe huyu umahili wako!
naona hamna wachawi humuKazi ipo
nawasubiri mkuu,ila nasikia sumbawanga ilikuwa zamaniSubiri waje jamaa zangu wa sumbawanga wahamishe nyeti zako halafu ndo utakuja kuomba radhi hapa,.. chezea wachawi wewe!
huna lolote!niroge uoneMimi hapa ni mchawi ila siwezi kuroga wendawazimu kedekede waliojazana JF kama wewe.
ndugu,nilishapotea njia saa 8 mchanaUchawi haupo.
mamndenyi kwani we ni mchawi?
Wachawi wamo humu, kwani wabunge, wakurugenzi siyo mamember humu???
nataka uniroge mkuu vipii?japo ID yako inaelekea elekea