Hivi humu JF hamna wachawi?

Katavi kaanza mambo nini?mbona nahisi mawenge
 
Subiri waje jamaa zangu wa sumbawanga wahamishe nyeti zako halafu ndo utakuja kuomba radhi hapa,.. chezea wachawi wewe!
 
Mimi hapa ni mchawi ila siwezi kuroga wendawazimu kedekede waliojazana JF kama wewe.
 
Subiri waje jamaa zangu wa sumbawanga wahamishe nyeti zako halafu ndo utakuja kuomba radhi hapa,.. chezea wachawi wewe!
nawasubiri mkuu,ila nasikia sumbawanga ilikuwa zamani
 
Taja ukoo wako jina lako na la baba yako tukutumie meseji ujue uchawi kama upo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…