gracious86
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 437
- 54
vipi wamekuroga?aisee!
Nyani Ngabu hakuwa fiti Husninyo,jaribu kwangu tuone!acha masihara kijana. nilimroga Nyani Ngabu mpaka leo sijapata tiba yake. na weww unataka kweli niingie mzigoni?
huku wamechemkateh teh, imebidi nicheke tu...umewaza nini hadi kuwaza wachawi hum jf??anza na watu wa kazini kwako..jiulize au waulize km wapo wakuroge km unavyotaka iwe
ha ha ha hahaha ha
aiseeeWapo wengi tu, kina ben sa8, yericko nyenyere na washirika wao
Wapo wengi tu, kina ben sa8, yericko nyenyere na washirika wao
whaat?watakurogaDamn you pal!
Nyani Ngabu hakuwa fiti Husninyo,jaribu kwangu tuone!
Kuna thread moja nimeona inadai JF sasa tuko 195,958!hivi humu wanakosekana wachawi?hebu waniroge nijue kama wapo!
aiseee!wanaoshindwa kuniroga wanakuja wakali humu!!!mchawi ni ww mwenyewe kajiroge
aisee kumbe?nawasubiri...ngoja waje squad buku 7,wote ni wachawi na wengine wako mafunzoni...
WANAKUJA...