Hivi humu JF hamna wachawi?

Hivi humu JF hamna wachawi?

teh teh, imebidi nicheke tu...umewaza nini hadi kuwaza wachawi hum jf??anza na watu wa kazini kwako..jiulize au waulize km wapo wakuroge km unavyotaka iwe
 
WANAKUJA...
558381_10151363566067482_1765795223_n+%281%29.jpg

Nakukubali...upo makini hahaha
 
huyu tyta sijui anatoaga wapi hii mipicha!na hii itakuwa katavi hii!
 
Back
Top Bottom