Hivi humu JF kuna aliyeishia la 7 kweli?

Hata tweeter sio hivyo aisee, yaani ukiona handle za watu humu ndani na Jinsi wanavyoandika thread [emoji3468] zao utawadhania ni moboss wakurugenzi wa makampuni flani!

Juzi si nmekutana na dada mmoja hivi wa humu JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani Kwa hapa JF anaheshimika sana watu wanamchukulia kama mtu mzito sana, mixer vingereza vingi. Juzi nmeomba kumeet nae aisee, ni kachoka mbaya na kazi anayofanya ni aibu aisee ngoja niishie hapa.

Hapa JF haitakiwi kua serious sana, wengi humu wanaingia kama kuigiza tuu.
Acha kuzarau kazi za watu mkuu...je ukienda insta inakuwaje je?member wa insta wengi wao unajua maisha yao ....NEVER UNDERESTIMATE PEOPLE.
 
Hata tweeter sio hivyo aisee, yaani ukiona handle za watu humu ndani na Jinsi wanavyoandika thread [emoji3468] zao utawadhania ni moboss wakurugenzi wa makampuni flani!

Juzi si nmekutana na dada mmoja hivi wa humu JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani Kwa hapa JF anaheshimika sana watu wanamchukulia kama mtu mzito sana, mixer vingereza vingi. Juzi nmeomba kumeet nae aisee, ni kachoka mbaya na kazi anayofanya ni aibu aisee ngoja niishie hapa.

Hapa JF haitakiwi kua serious sana, wengi humu wanaingia kama kuigiza tuu.
Sasa wewe watu humu ndio wanakuwa free wewe unasema eti nimemkuta ni mmbaya mara kibao mnamsema humu wao ni wabaya wa sura na tabia Sasa mkiwaita nakuwachora mnafaidikaga Nini??
Njoo unione mie halafu uje uncomment hata mie najua English
 
Hata tweeter sio hivyo aisee, yaani ukiona handle za watu humu ndani na Jinsi wanavyoandika thread [emoji3468] zao utawadhania ni moboss wakurugenzi wa makampuni flani!

Juzi si nmekutana na dada mmoja hivi wa humu JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani Kwa hapa JF anaheshimika sana watu wanamchukulia kama mtu mzito sana, mixer vingereza vingi. Juzi nmeomba kumeet nae aisee, ni kachoka mbaya na kazi anayofanya ni aibu aisee ngoja niishie hapa.

Hapa JF haitakiwi kua serious sana, wengi humu wanaingia kama kuigiza tuu.
Mtasababisha watu tuache kuonana aisee
 
Back
Top Bottom