Hivi humu JF kuna aliyeishia la 7 kweli?

Mimi la saba tena nalo nilifeli maisha yanasonga mbele ninayo elimu aliyonipa jeveva .
 
Tupo standard 7 hapa. Sena jf ndio sehemu tunayo jimwambafy baada ya kushiba kande. You can be anybody anywhere.
Niko njiani naelekea kwenye kikao na uongozi wa juu wa nchi hapa
 
Ukiandika message ya kingereza wanakuja kama wote mpaka PM wengine wanaponda wengine wanaomba watafsiriwe. .
La saba ni wengi sana. Mmoja Kani text "LIVE ME ALONE I DOESN'T AGREE YOU JOCKING"[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka mbaya
Mh Jf never boring?
 
Foreman four failure ni equivalent to std 7 graduate.

Kila alofeli form four ni Sawa na darasa la 7

Wa hivyo wako wengi sana humu.

Na Kuna tasnia zinajulikana kuwa za form four failures Na wamo humu wengi tu ijapokuwa kwa msimu pale ambapo wanapopata vibando mwisho wa mwezi.
 
Humu mpaka madereva wapo.

Ma secretaris,
Walimu
Manesi

Maafisa ugani

Wagambo

Watangazaji wa redio na tv

Jobless

Wakudanga

N.k
 
Yaani mwenzio anapiga hela wewe unaita kazi ya aibu kweli we kiazi
 
Wapo wengi tu, mfano ni hawa
@Erthrocyte
Mmawia
[emoji1787][emoji1787]

Acha bwanaa ,huyu Erthyrocyte ambaye "yuko" ulaya kwa sasa kwa ajili ya kazi maalum aliyopelekwa na mh.Mbowe?!!!

Kweli CHADEMA wanabebana sana kama Mbowe alivyokuwa anawabeba wale "wabunge wa BAWACHA" akina mh.Ruge wasiokuwa na sifa za ubunge wa viti maalumu [emoji1787][emoji1787]
 
Unataka ujue viwango vya elimu za watu ili iweje? Anyways, mimi niliishia la 3
 
Nyanda madirisha la 5 tu nimeishia mwaka 2008 kahama ndani ndani huko chini ya mkuu wa shule marehem mzee wetu DANIEL KUBEHWA (sauti ya nziku )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…