Hivi humu JF kuna warembo kama insta au ni zaidi ya insta??

Hivi humu JF kuna warembo kama insta au ni zaidi ya insta??

Status
Not open for further replies.
Wanasema humu wote wanaume,ila wanaume hao hao wana id mbili mbili moja ke nyingine me..

Humu bhana kiufupi,ni watu wasiojulikana.
 
JF , i/gram zimo picha za warembo tu kwa mfumo wa digital. Warembo itabidi uwafate huko huko walipo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom