Hivi humu JF uliwahi kuletwa uzi na ukapita bila kupingwa?

Hivi humu JF uliwahi kuletwa uzi na ukapita bila kupingwa?

Watu wanapinga ata majina yao ya asili na ages zao, sembuse hizi threads za JF....
 
Akili zako km za chekechea. Kwani uwezo wa kufikiri humu jf unalingana!
 
Sasa si ndo mitazamo ya watu mbalimbali katika jamii, lazima tukubali kutokukubaliana saa zingine.
 
Back
Top Bottom