Watu kama hawa kina Kichwa Kichafu unategemea watoe majibu gani kwenye uzi...Napinga uzi wako
Hahahahahahaha mtandao mkuu uko chiniItaje sababu gani hiyo au hujui kama ushajizolea umaarufu?
Naona alukuwa full speed in typing πππRekebisha heading yako,humu ni JF sio IF