We unazo za kutoa?Ndiyo maana wakiombwa hela wanapaniki
Weee k ww. Haya banaMie nalishwa bure na mume wangu, bundle nawekewa....Kazi yangu Kula kulala, na kulala tena.
Mkuu kuna wengine Wanatumia Ai Kuchart na iko Automatic na huwa hawali wala kunywa...Ajabu kuona kila time watu wana reply, watu wanachati hadi saa 6 usiku kucha.
Kila mtu ashinde match zake[emoji23]Kwani wamekuomba hela ya kula?
Tutatafuta kesho kutwa usijaliAjabu kuona kila time watu wana reply, watu wanachati hadi saa 6 usiku kucha.