Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 960
- 927
Kwa Viongozi wetu wanaoratibu huu mkutano. Hivi huu mkutano ulipangwa ghafla hadi tunawashtukiza wananchi na press release za usiku za kufunga shule kwa siku mbili??
Kwanini huwa hatukai chini na kupanga mipango inayoeleweka? Haikuundwa kamati ya kushughulikia ujio wa wageni na kama iliundwa walikuwa hawakai vikao? Na kama walikuwa wanakaa walikuwa wanajadili nini???