Hivi huu mkutano wa nishati ulipangwa ghafla?

Hivi huu mkutano wa nishati ulipangwa ghafla?

Sasa mkuu, kama walikuwa na taarifa na wakafanya mipango yote na waka-spam simu zetu kwa matangazo ya 'Summit' mapema tu, kwanini wasiongezea na taarifa zilizobaki. Kuna watu leo biashara zao hazitakaa sawa, ma-HR imebidi wafanye maamuzi ya kufunga ofisi late, watu watapoteza muda, watu watachoma rasimali fedha etc. Mitihani ya baadhi ya vyuo imeahirishwa usiku nk

Kitu ambacho wangesema mapema na wananchi wangepanga mapema
Nchi nzima imepumzika kwa muda kwa usalama zaidi leo na kesho ni km jumapili
 
Planning na coordination ya huu mkutano haijafanywa kwa weledi aidha ni sababu ya kuteua wenzetu kwenye nafasi hii kitaalamu inaitwa ccm style.

Pia inaonesha jinsi gani elimu yetu haijandaa watumishi wenye weledi yaani iko vitabuni na ya kudesa kufaulu mitihani.

Wahusika walimezwa na mambo ya dodoma na posho za dodoma wakasahau majukumu makubwa mbele yao.

Hili la mkutano halafu kila kitu kinasimama linaleta ukakasi kidogo
 
Mambo Yetu Wenyewe Ndani Ya Nchi Huwaga Yanatushinda Sembuse Hili La Kimataifa,,Maagizo Ya Kukurupuana Bila Kupeana Utayari, Maandalizi Na Mipangalio Mathubuti Ya Kufanikisha Jambo Kiuweredi Zaidi
 
Hapa umekosea au umefanya makusudi kujaza server za JF?
Tatizo lako ni kwamba umesoma kilicho kwenye quote; huja -click link NILIyoWEKA. Ukii-click link niliyokuwekea UTASOMA post yangu na siyo post YA MTU aliyeanzisha thread HII.
 
Tatizo lako ni kwamba umesoma kilicho kwenye quote; huja -click link NILIyoWEKA. Ukii-click link niliyokuwekea UTASOMA post yangu na siyo post YA MTU aliyeanzisha thread HII.
Tunafanya hivi sasa omba nikufundishe yaan nikupe darasa nafanyaje inakua hivyo na sio vile? Bonyeza link

Post in thread 'Hivi huu mkutano wa nishati ulipangwa ghafla?' Makanyaga bonyeza hapa uanze kuyakanyaga na haya
 
25 January 2025
Dar es Salaam, Tanzania :FIRE:

BODABODA NA BAJAJ
MARUFUKU KUINGIA KATIKATI ya JIJI WAGENI wa KIMATAIFA WAKIENDELEA na MKUTANO - SACP JUMANNE MULIRO ZCO AELEZA

View: https://m.youtube.com/watch?v=5gqng4mkyIY

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo tarehe 25 Januari 2025 limesema bajaji na bodaboda hazitaruhusiwa kuingia katikati ya jiji katika kipindi cha Mkutano wa Nishati Afrika utakaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Januari 27 hadi Januari 28, 2025.

Mkutano huo unatarajiwa kuhudhuriwa na zaidi ya marais 25 na mawaziri 60 kutoka nchi mbalimbali za Afrika.

Taarifa ya Polisi iliyotolewa leo, Jumamosi Januari 25, 2025, na Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, Jumanne Muliro, imesema kutokana na ugeni huo, barabara hizo zitafungwa kuanzia leo.

Pia Jeshi hilo limesema Barabara tisa jijini Dar es Salaam, zimefungwa kwa siku sita kuanzia leo Januari 25 hadi Januari 30, 2025 ili kupisha misafara ya viongozi wanaokuja kutoka nchi mbalimbali kuhudhuria mkutano wa Nishati Afrika.
 
Yaan katikati ya jiji marufuku kukanyaga makapuku wenye bodaboda za mkopo, nakubari nakubari

Naunga mkono ila napendekeza zoezi hili liwe endelevu lisilo na kikomo jijini Dar es Salaam kuzuia kabisa bodaboda na bajaj kuingia kufika maeneo ya mjini kati ziishie Ubungo mataa, Mwenge Stand, Mivinjeni Kilwa Road, Gongo la Mboto Banana, Temeke Kibasila Sekondari School, Kigamboni Navy.
 
Tunafanya hivi sasa omba nikufundishe yaan nikupe darasa nafanyaje inakua hivyo na sio vile? Bonyeza link

Post in thread 'Hivi huu mkutano wa nishati ulipangwa ghafla?' Makanyaga bonyeza hapa uanze kuyakanyaga na haya
Nimesoma IT mpaka KWENYE level AMbAYO NI advanced mno, HUWEZI KUMFUNDISHA KITU. Ukiona nimekupatia link KWA MTINdO HUO, ujue KUNA KITU AMBACHO kimeni-limit nikaamua KUFANYA HIVYO
This is just typing, ni madoido TU ya KWENYE typing
 
Inabidi tupitishe SHERIA kufikia SAA 2 USIKU TV ZOTE KWENYE bar ZOTE LAZIMA ziswitch KWENYE TAARIFA YA habari na Bar isiyofanya hivyo ifungiwe. Ni watu wanaokuwa kwenye Bar NDIYO HUWA wanakosa TAARIFA kAMA HIZI KWA bahati MBAYA KWA SABABU TAARIFA ya HABARI hawawekewi

NI SWALA LA KUMTONYA TU MH MKUU WA MKOA CHALAMILA
Yani mmeamua kuwa magaidi sasa mtulazimishe kuangalia na kusikiliza taarifa ya habari kweli..?
ipo siku tutanyukana fimbo heshima ije😂
 
Naunga mkono ila napendekeza zoezi hili liwe endelevu lisilo na kikomo jijini Dar es Salaam kuzuia kabisa bodaboda na bajaj kuingia kufika maeneo ya mjini kati ziishie Ubungo mataa, Mwenge Stand, Mivinjeni Kilwa Road, Gongo la Mboto Banana, Temeke Kibasila Sekondari School, Kigamboni Navy.
Ndipo tunapoelekea lakini sababu zisizoeleweka hawatowazuia baada ya hapo walifanya hivyo wakashindwa
 
Yani mmeamua kuwa magaidi sasa mtulazimishe kuangalia na kusikiliza taarifa ya habari kweli..?
ipo siku tutanyukana fimbo heshima ije😂
Umeisoma post ya yule niliyekuwa nimemjibu au BADO umelewa HADI mda huu?
 
Nimesoma IT mpaka KWENYE level AMbAYO NI advanced mno, HUWEZI KUMFUNDISHA KITU. Ukiona nimekupatia link KWA MTINdO HUO, ujue KUNA KITU AMBACHO kimeni-limit nikaamua KUFANYA HIVYO
This is just typing, ni madoido TU ya KWENYE typing
Sasa unafanyaje kitu km mtoto wa darasa la pili na umesoma IT hivi mfano attached linked links zingekua zimewekwa km unavyoweka wewe pangetosha humu?
 
Kwanini Samia amechagua tarehe ya kuanza mkutano huu iwe ni siku ya birthday yake ?

Shtukeni!

#How to beat an aquarius woman at her own game
=Focus on personal growth and pursue your own dreams.

Remember an aquarius woman may try to defend or rationalize her behavior , but by exposing her hypocrisy , you are forcing her to confront her true self and reevaluate her actions.

Example of hypocritical behavior of aquarius woman; Preaching about honesty while engaging in secretive behavior.

Confrontational strategy on how to confront this hypocritical behavior of aquarius woman; Point out the contradiction between her words and actions , questioning her integrity.

If an aquarius woman is promoting open mindedness but displaying judgemental attitudes , confrontational strategy is to challenge her judgemental comments or actions , encouraging her to practice what she preaches.

It is essential to recognize and distance yourself from toxic behavior in any relationship including with an aquarius woman. By focusing on your personal-goals and cutting off toxic behavior , you regain control of your own life and create a healthy space for personal growth. Remember beating an aquarius woman at her own game means refusing to participate in her manipulative tactics and choosing to prioritize your own well-being.
 
Mkutano umeamuliwa toka mwaka jana April, Tanzania ni host tu. Wenye mkutano wao ni world bank, African Development bank; wadau wa maendeleo na private investors.

Kuna $30 billion for grabs, jamaa wame-commit kutoa. Sasa wewe nenda na hoja zako za kumtua mama kuni, badała ya business plan ya umeme uone kama utatoka na kitu.
Kwa hali ilivyo ya hawa mawaziri wetu .........kumtua mama kuni mtu alipatia PhD sasa unasemaje hawezi kutoka na kitu??..............ile falsafa ya elimu kwa inchi yetu kwa sasa haipo ndio maana mtu akipata wani sherehe ila kwenye maisha anashindwa kuwa mbunifu..................kiongozi msomi anakwambia katafute kazi ujiajili yeye anabaki kuwa mwajiriwa
 
Kwa Viongozi wetu wanaoratibu huu mkutano. Hivi huu mkutano ulipangwa ghafla hadi tunawashtukiza wananchi na press release za usiku za kufunga shule kwa siku mbili??

Kwanini huwa hatukai chini na kupanga mipango inayoeleweka? Haikuundwa kamati ya kushughulikia ujio wa wageni na kama iliundwa walikuwa hawakai vikao? Na kama walikuwa wanakaa walikuwa wanajadili nini???
Ni yale yale ya Mkutano Mkuu CCM ni kama vile hawajui kinachokwenda kutokea ni nini.
 
Kwa Viongozi wetu wanaoratibu huu mkutano. Hivi huu mkutano ulipangwa ghafla hadi tunawashtukiza wananchi na press release za usiku za kufunga shule kwa siku mbili??

Kwanini huwa hatukai chini na kupanga mipango inayoeleweka? Haikuundwa kamati ya kushughulikia ujio wa wageni na kama iliundwa walikuwa hawakai vikao? Na kama walikuwa wanakaa walikuwa wanajadili nini???
Wangefunga maeneo ya jirani na mkutano sio huko mbali mbagala sijui wapi
 
Mpaka leo ujajua tabia ya viongozi kwenda nje ya contexts.

Wataenda huko na hadithi zao miradi ya kusambaza majiko ya gas, wakati mkutano na wawekezaji wamekuja kwa ajili nishati ya umeme.
Na hiki kitofali kimemfikia na kwenye risala ile lazima atumbuzie hio ya Rostitamuazizi apige pesa kwenye gesi mpaka 2030 sio poa
 
Back
Top Bottom