Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 1,436
- 1,769
Hapa umerusha tofauli kuelekea wapi?Sasa wewe nenda na hoja za kumtua mama kuni, badała ya business plan ya umeme uone kama utatoka na kitu.
Huku maporini kote leo ni mapumziko watoto wote wapo nyumbani muda huu, mmoja kafika hapa anaulizwa leo vipi shule anajibu mwalimu kasema leo na kesho hakuna shuleLeo nimejua dissemination ya taarifa iko chini sana hapa nchini kwetu, pamoja na tangazo kuchelewa nimepita shule moja asubuhi wanafunzi wenye uniform wamezagaa.. wengine wanaingia wengine wanarudi baada ya kupewa taarifa hamna shule na wengine ndio wameona fursa ya kucheza na kutorudi nyumbani.
Nikajiuliza tukipata janga kama Taifa jinsi taarifa zinavyochelewa itakuwa majanga, na hapa ni mjini Dar es Salaam huko mikoani sijui hali itakuwaje.
Mpaka leo ujajua tabia ya viongozi kwenda nje ya contexts.Hapa umerusha tofauli kuelekea wapi?
Sidhani kama umeelewa point yangu. Ninakubaliana na kufunga shule na baadhi ya shughuli, Point yangu ni kwamba...mkutano si ulijulikana mwaka jana kwamba sisi ndio tutakuwa host country wa huu mkutano...kwanini hatukujipanga kuliko kuja kushtukiza wananchi!?? Hiyo ndio hoja yangu.Serikali yetu iko sahihi kabisa ili Al Shabab na magaidi wengine wasituletee madhara....
#Usalama wa wageni kwanza!
Raia tuna haki ya kutafuta taarifa....Leo nimejua dissemination ya taarifa iko chini sana hapa nchini kwetu, pamoja na tangazo kuchelewa nimepita shule moja asubuhi wanafunzi wenye uniform wamezagaa.. wengine wanaingia wengine wanarudi baada ya kupewa taarifa hamna shule na wengine ndio wameona fursa ya kucheza na kutorudi nyumbani.
Nikajiuliza tukipata janga kama Taifa jinsi taarifa zinavyochelewa itakuwa majanga, na hapa ni mjini Dar es Salaam huko mikoani sijui hali itakuwaje. Wazazi wa hawa watoto watakuwa hawaangalii luninga, hawasikilizi redio wala hawako kwenye ulimwengu wa digiti..
Wanatumia fursaWatoto wapo mapumziko siku 2/3 wanaangalia luninga nyumbani kwao mkutano wa World Sa100meet
Nimeshangaa mpaka huku machakani nilipo mimi eti watoto wameambiwa leo hakuna shule mpaka kesho kutwa
Changamoto za ugaidi na uadui ni kutotoa mwanya kwa hao maadui kujipanga......Sidhani kama umeelewa point yangu. Ninakubaliana na kufunga shule na baadhi ya shughuli, Point yangu ni kwamba...mkutano si ulijulikana mwaka jana kwamba sisi ndio tutakuwa host country wa huu mkutano...kwanini hatukujipanga kuliko kuja kushtukiza wananchi!?? Hiyo ndio hoja yangu.
Kuna madhara makubwa yametokea kwa kutoa taarifa kwa kushtukiza?Sidhani kama umeelewa point yangu. Ninakubaliana na kufunga shule na baadhi ya shughuli, Point yangu ni kwamba...mkutano si ulijulikana mwaka jana kwamba sisi ndio tutakuwa host country wa huu mkutano...kwanini hatukujipanga kuliko kuja kushtukiza wananchi!?? Hiyo ndio hoja yangu.
Walisahau 😝😅 walifocus kwenye Ukumbi, Chakula, vifaa n.kKwa Viongozi wetu wanaoratibu huu mkutano. Hivi huu mkutano ulipangwa ghafla hadi tunawashtukiza wananchi na press release za usiku za kufunga shule kwa siku mbili??
Kwanini huwa hatukai chini na kupanga mipango inayoeleweka? Haikuundwa kamati ya kushughulikia ujio wa wageni na kama iliundwa walikuwa hawakai vikao? Na kama walikuwa wanakaa walikuwa wanajadili nini???
HawaaminianiKwa Viongozi wetu wanaoratibu huu mkutano. Hivi huu mkutano ulipangwa ghafla hadi tunawashtukiza wananchi na press release za usiku za kufunga shule kwa siku mbili??
Kwanini huwa hatukai chini na kupanga mipango inayoeleweka? Haikuundwa kamati ya kushughulikia ujio wa wageni na kama iliundwa walikuwa hawakai vikao? Na kama walikuwa wanakaa walikuwa wanajadili nini???
Sasa mkuu, kama walikuwa na taarifa na wakafanya mipango yote na waka-spam simu zetu kwa matangazo ya 'Summit' mapema tu, kwanini wasiongezea na taarifa zilizobaki. Kuna watu leo biashara zao hazitakaa sawa, ma-HR imebidi wafanye maamuzi ya kufunga ofisi late, watu watapoteza muda, watu watachoma rasimali fedha etc. Mitihani ya baadhi ya vyuo imeahirishwa usiku nkKuna madhara makubwa yametokea kwa kutoa taarifa kwa kushtukiza?
Possibly KUNA SABABU maalum KUBWA NYUMA YAKE.Kwa Viongozi wetu wanaoratibu huu mkutano. Hivi huu mkutano ulipangwa ghafla hadi tunawashtukiza wananchi na press release za usiku za kufunga shule kwa siku mbili??
Kwanini huwa hatukai chini na kupanga mipango inayoeleweka? Haikuundwa kamati ya kushughulikia ujio wa wageni na kama iliundwa walikuwa hawakai vikao? Na kama walikuwa wanakaa walikuwa wanajadili nini???
Inabidi tupitishe SHERIA kufikia SAA 2 USIKU TV ZOTE KWENYE bar ZOTE LAZIMA ziswitch KWENYE TAARIFA YA habari na Bar isiyofanya hivyo ifungiwe. Ni watu wanaokuwa kwenye Bar NDIYO HUWA wanakosa TAARIFA kAMA HIZI KWA bahati MBAYA KWA SABABU TAARIFA ya HABARI hawawekewiLeo nimejua dissemination ya taarifa iko chini sana hapa nchini kwetu, pamoja na tangazo kuchelewa nimepita shule moja asubuhi wanafunzi wenye uniform wamezagaa.. wengine wanaingia wengine wanarudi baada ya kupewa taarifa hamna shule na wengine ndio wameona fursa ya kucheza na kutorudi nyumbani.
Nikajiuliza tukipata janga kama Taifa jinsi taarifa zinavyochelewa itakuwa majanga, na hapa ni mjini Dar es Salaam huko mikoani sijui hali itakuwaje. Wazazi wa hawa watoto watakuwa hawaangalii luninga, hawasikilizi redio wala hawako kwenye ulimwengu wa dijiti pia hawana mahusiano mazuri na wanajamii wenzao, maana mtoto anatoka nyumbani mpaka shule huku kati watu wote wanaomuona wanauchuna ilhali wakijua anajichosha na kupoteza muda.
Sidhani kama umeelewa point yangu. Ninakubaliana na kufunga shule na baadhi ya shughuli, Point yangu ni kwamba...mkutano si ulijulikana mwaka jana kwamba sisi ndio tutakuwa host country wa huu mkutano...kwanini hatukujipanga kuliko kuja kushtukiza wananchi!?? Hiyo ndio hoja yangu.
Hapa umekosea au umefanya makusudi kujaza server za JF?Hivi huu mkutano wa nishati ulipangwa ghafla?
Kwa Viongozi wetu wanaoratibu huu mkutano. Hivi huu mkutano ulipangwa ghafla hadi tunawashtukiza wananchi na press release za usiku za kufunga shule kwa siku mbili?? Kwanini huwa hatukai chini na kupanga mipango inayoeleweka? Haikuundwa kamati ya kushughulikia ujio wa wageni na kama iliundwa...www.jamiiforums.com