Hili neno "kushenyeta" naliona kwenye muktadha tofauti tofauti sana na inanipa ugumu kujua maana yake halisi ni nini.
Wataalam wa lugha hebu tuambieni maana halisi ya hili neno
4. Kuna yule RCO mstaafu wa Makao Makuu ya nchi alikuwa anatumia msemo wa kipigo au kipondo cha mbwa koko. Huko ndiko kushenyentwa.
Kushenyenta pesa za ada (kula)Kushenyenta kiujumla ni kufanya
Sasa inategemea neno limetumika kwenye muktadha gani
Mfano kushenyenta msosi ni kula