Hivi huu Mshahara wa UN mpakampenzi wako na watoto wanalipwa?

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2020
Posts
2,162
Reaction score
2,616
Heshima kwenu wakuu.

Well, nimekuwa nikiskia tu kuwa unapofanya kazi UN mpaka mchumba/mpenzi/mke wako nae ana lipwa kila mwisho wa mwezi.

Leo katika pitapita nikawa napita kwenye website ya UN kuangalia Salaries, Allowances, Benefits and Job Classification nikaona hii kitu hapa...! Hii ina maana gani...?



Nikasema kwa kuwa JF inaguswa na wengi viganjani mwao, nikaona sio mbaya nikiileta hapa jukwaani ili kuweza kufahamu kuhusu hili suala wakuu...!

Thanking you in advance.

🙏🏾


Cc Extrovert.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…