Hivi huu mwezi ukilipuliwa , mabaki yake yataangukia huku Duniani?

Hivi huu mwezi ukilipuliwa , mabaki yake yataangukia huku Duniani?

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,072
Reaction score
12,119
Nimekaa nikawaza hapa , hizi kombora za nyuklia wanazomiliki mataifa makubwa ,wakazitumia kuulipua mwezi

Je mapande yake yataangukia huku duniani ?

Au ikatokea umelipuka wote , mabaki yatabaki huko angani yakielea?

Nawasilisha.

side-Earth-Moon-spacecraft-way-Jupiter-Galileo.jpg
 
Nimekaa nikawaza hapa , hizi kombora za nyuklia wanazomiliki mataifa makubwa ,wakazitumia kuulipua mwezi . Je mapande yake yataangukia huku duniani ? Au ikatokea umelipuka wote , mabaki yatabaki huko angani yakielea?
Nawasilisha.View attachment 3262502
Sasa wakiulipua mkuu huoni akina kobazi watafunga mpk wakome maana kufungua mpaka wauone!..😂
 
Nimekaa nikawaza hapa , hizi kombora za nyuklia wanazomiliki mataifa makubwa ,wakazitumia kuulipua mwezi

Je mapande yake yataangukia huku duniani ?

Au ikatokea umelipuka wote , mabaki yatabaki huko angani yakielea?

Nawasilisha.

View attachment 3262502
ndio mabaki mengi yataanguka duniani na mengine yataunda duara au kama ilivyo kwenye sayari ya saturn
 
Back
Top Bottom