Hivi huu mwezi ukilipuliwa , mabaki yake yataangukia huku Duniani?

Nimekaa nikawaza hapa , hizi kombora za nyuklia wanazomiliki mataifa makubwa ,wakazitumia kuulipua mwezi

Je mapande yake yataangukia huku duniani ?

Au ikatokea umelipuka wote , mabaki yatabaki huko angani yakielea?

Nawasilisha.

View attachment 3262502
Naelewa kile unachotaka kujua hasa, na hata Lengo lako sio baya...

Ila Kwa vile hii Dunia ili iwe hivi ilivyo Leo.... Imebeba Watu na Viatu.
 
Nimekaa nikawaza hapa , hizi kombora za nyuklia wanazomiliki mataifa makubwa ,wakazitumia kuulipua mwezi

Je mapande yake yataangukia huku duniani ?

Au ikatokea umelipuka wote , mabaki yatabaki huko angani yakielea?

Nawasilisha.

View attachment 3262502
Nimecheka sana, ukute ukikuw na wew unaona umewaza sana jambo muhimu.

Anyway kwa sayansi ndogo nijuavyo ni ngumu sana mapande yake kufika duniani, anga lina lea kibao na hizo lea zima kazi tofauti tofauti. Ila moja ya lea za anga ni kuhakikisha hakuna heavenly body inayoweza katisha kwa dunia.

Ndiomana kati ya millions of object lakin dunian kuna vimondo havizid hata kumi vilivyo maarufu, maana vingi huangua na kuteketekea vikikaribia dunia. Ndio vile usiku baadhi ya maeneo au jamii husema vimondo vya wachawi.
 
Hilo bomu watalirusha likifika mwezini litakuwa kama kitone cha mchanga!
 
Nimecheka sana, ukute ukikuw na wew unaona umewaza sana jambo muhimu.

Anyway kwa sayansi ndogo nijuavyo ni ngumu sana mapande yake kufika duniani, anga lina lea kibao na hizo lea zima kazi tofauti tofauti. Ila moja ya lea za anga ni kuhakikisha hakuna heavenly body inayoweza katisha kwa dunia.

Ndiomana kati ya millions of object lakin dunian kuna vimondo havizid hata kumi vilivyo maarufu, maana vingi huangua na kuteketekea vikikaribia dunia. Ndio vile usiku baadhi ya maeneo au jamii husema vimondo vya wachawi.
Ila kuna cases kadhaa vimondo kuangukia baharini
 
Kuna mdau hapo juu ameni quote akiuliza hilo bomu litaulipuaje mwezi au walipuaji waanze kujilipua kwanza? Kwa simple logic tunaweza ku assume hilo bomu linawezekana litengenezwe kwenye maabara za international space station au vifaa vya kuunda hilo bomu vikapelekwa kidogo kidogo hadi mwezini huko vikaundiwe huko huko halafu likafungwa timer. Wataalamu wakishaondoka huko mwezini kitu kinajibu 🔥 📛 🔥🔥🔥🔥
 
iss-seen-from-shuttle-discovery-2009.jpg
 
Hakuna teknolojia ya kupiga mwezi mpaka uwe vipande, tunaweza kuuchafua tuu kwa sumu za nuclear na kuacha mashimo tuu
 
Back
Top Bottom