Hivi huu mwezi ukilipuliwa , mabaki yake yataangukia huku Duniani?

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,072
Reaction score
12,119
Nimekaa nikawaza hapa , hizi kombora za nyuklia wanazomiliki mataifa makubwa ,wakazitumia kuulipua mwezi

Je mapande yake yataangukia huku duniani ?

Au ikatokea umelipuka wote , mabaki yatabaki huko angani yakielea?

Nawasilisha.


 
Sasa wakiulipua mkuu huoni akina kobazi watafunga mpk wakome maana kufungua mpaka wauone!..πŸ˜‚
 
ndio mabaki mengi yataanguka duniani na mengine yataunda duara au kama ilivyo kwenye sayari ya saturn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…