Hivi huu ni ugonjwa gani?

Hivi huu ni ugonjwa gani?

Dr.philosophy

Senior Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
122
Reaction score
27
Wadau hebu nisaidieni,huyu ndugu yangu ana dalili hizi; anaumwa joint za magoti,anaishiwa nguvu,akiwa na njaa anahisi kutetemeka,anapungua wakati mwingine mwili wake unarudi kama kawaida.mara nyingi sana amewahi kupimwa amekuwa akikutwa na u.t.i na malaria.amekula dawa sana.ameshapima ukimwi kama mara tano hivi na sukari vyote hana,yaani maumivu ya joint,kuishiwa nguvu na kupungua ndo imekuwa sehemu ya maisha yake,je ni ugonjwa gani huo wanajamvi? Natanguliza shukurani
 
Back
Top Bottom