Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Dah mkuu kumbe washafungua?wako zaidi ya bilioni 1, lazima nchini kwao usafiri utakuwa kipengele
hatimaeDah mkuu kumbe washafungua?
Hongera sana master.hatimae
Hahaa 😂 washamba kibao njon tuwaibiehatimae
Shida yangu ni maana halisi ya kupanda chombo cha moto! Kwa usalama wa abiria spidi itakuwa ni ndogo bora utembee kwa miguu! Na umo ndani hata hewa ya kupumua itakuwa hamna!Kama wanajenga nyumba kwenye kiwanja halafu wanapiga bei sehemu ya juu angani mwa kiwanja sioni shida hapo kwenye treni. Hiyo Mumbai bhabha.