Hivi huu ni umaskini au ni nini, mbona sielewi?

Hawa wanakimbia mpigano(Vita).Usiombee vita kwani mojawapo ya majanga ya vita ndo kama hayo. Kila mtu anaipigania nafsi yake na umauti
 
Sio Sherehe hizi mkuu!?
 
Sio Sherehe hizi mkuu!?
La hasha. Ukikagua/Tathmini (assess)yanayojitokeza hapo kwenye picha utagundua kwamba:
1. Wapo wnaosali (taz. walioshika masikio) ili mungu wao awanusuru na hali iliyowakuta, hakuna mwenye uso wa furaha hata mmoja.
2. Wapo wanaoonesha kukerwana wanyo hasira ya kisasi Taz waliopo juu kabisa wamenyosha mikono kana kwamba wanalaani na wamebeba bendera kuashiria mshikamano
3.Wengi wa abiria wamevaa kanda mbili au kobazi kitu ambacho sio kawaida kuvaliwa kwenye sherehe na wanaonekana ni umri wa kati 35- 50yrs old.
4. Wengi (karibu wote) wamevaa baraghashia i.e. ni wanaume hakuna Ke anayeonekana hapo (labda wapo ndani na watoto)
5. Waliopo chini ni kama wanajiuliza hatimayao itakuwaje kama usafiri ndo huo? na hakuna mbadala labda inawabidi wasubirie usafiri mwingine ambao nao haujulikani utakuja kivipi......
 
Picha zinasema Mengi sana ..
 
Waache wafurahie dunia, ata ukiwa tajiri kifo kipo pale pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…