Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
According to wikipedia....Mkuu cover katika context ya muziki ndo nini? tusaidiane wengine hatuelewi
nakubaliana na wewe kabisa mkuu kuna cover huwa ni kali zaidi ya original kwa mfano ule wimbo wa hello- adelle, joe thomas aliufanyia cover kali sana. lakini nikirudi kwenye point ya mtoa mada sio issue sana kila wimbo kuutolea cover inarudisha nyuma creativity.Cover kama nchi za wenzetu kuna watu zinawapa pesa na umaarufu japo si sana laikn ni mtindo wa kawaida tuu
Kuna cover zna kuwaga kali kulko wimbo yenyewe