Hivi huwa mnajuaje??

Hivi huwa mnajuaje??

Yani unabutua tu ikikubali ndo unazidisha,ikibuma haukati tamaa unajaribu kingine.

ngoja na mie nibutue,hahahahahahhha hilo neno kubutua limenichekesha @tamuuuuu,limenikumbusha utotoni kombolela,lol
 
na lazima uwe na uwezo wa kufikiria na kuamini wazo lako na kujua utamuuzia nani kwa frequency ipi na biashara itadumu vip ....ni rhs sana.....think think think
 
Kuna principles kama vile 10 za enterpreneurship (ujasiriamali) ukizifuatilia unaweza kujiripua tu bila hofu....
 
Tambua wazo ndio mtaji wako wa kwanza hivyo utatambuaje kama its a positive idea fanya research ujiridhishe bt hivyo ni kwa kuanza tu second step ndo kutake risk kuprove your research of your idea sa hapo likibuma then ulibugi step from the beginning
 
Back
Top Bottom