Hivi huwa mnamuelewaje mwanamke anayekwambia simu yake imetumbukia chooni

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kuna mwamba juzi kadai wanawake wa siku hizi hard ware safi ila software zero ni kweli.

Mtu hajapatikana hewani siku kadhaa ukimuuliza eti simu ilitumbukia chooni

Nguo nyingi za wanawake hazina mifuko je simu inatumbukiaje chooni?

Je kwa nini uende na simu chooni?au huwa mnachat mkiw chooni

Je choo ni cha shimo?

Maswali ni mengi kuliko majibu
 
Akiona manyoya ajue kashaliwa🤣🤣🤣
1722371468610.jpg
 
Nguo nyingi za wanawake hazina mifuko je simu inatumbukiaje chooni?
Mimi ni muhanga, ngoja nikujibu.

Hiyo siku nimevaa skin jeans.. nikaweka simu mfuko wa nyuma. Nikasahau kabisaaa kwamba nina simu huko mfukoni.
Nikaingia choo cha huko nilikokuwa.. cha kuchuchumaa.
Nashusha jeans simu dubwiii 🤣
Jeezyy, nikatoka kutafuta gloves, nikavaa nikaitoa. Good luck simu ina waterproof/ water- resistant so haikudhurika.

Kwa huyo wako yawezekana kabisa katumbukiza. Au pia anakupanga 😁😁
 
Jeezyy, nikatoka kutafuta gloves, nikavaa nikaitoa. Good luck simu ni waterproof, so haikudhurika.

Kwa huyo wako yawezekana kabisa katumbukiza. Au pia anakupanga 😁😁
Pole sana mkuu.
 
Mimi ni muhanga, ngoja nikujibu.

Hiyo siku nimevaa skin jeans.. nikaweka simu mfuko wa nyuma. Nikasahau kabisaaa kwamba nina simu huko mfukoni.
Nikaingia choo cha huko nilikokuwa.. cha kuchuchumaa.
Nashusha jeans simu dubwiii 🤣
Jeezyy, nikatoka kutafuta gloves, nikavaa nikaitoa. Good luck simu ina waterproof, so haikudhurika.

Kwa huyo wako yawezekana kabisa katumbukiza. Au pia anakupanga 😁😁
mPaka gloves,wengine huwa tunatoa hvyo hvyo hata kama ni sabuni
 
si tulishaambiwa tukiwaelewa wanawake basi ndo tunakufa!,yanini kutaka kutuua..? binafsi sishughulishi ubongo wangu kutaka kuelewa kwanini mi naacha ijirambe yenyewe kwa yenyewe!
 
Mimi ni muhanga, ngoja nikujibu.

Hiyo siku nimevaa skin jeans.. nikaweka simu mfuko wa nyuma. Nikasahau kabisaaa kwamba nina simu huko mfukoni.
Nikaingia choo cha huko nilikokuwa.. cha kuchuchumaa.
Nashusha jeans simu dubwiii 🤣
Jeezyy, nikatoka kutafuta gloves, nikavaa nikaitoa. Good luck simu ina waterproof/ water- resistant so haikudhurika.

Kwa huyo wako yawezekana kabisa katumbukiza. Au pia anakupanga 😁😁
Depal
1721113379713.jpg
 
Pole na hongera
 
Back
Top Bottom