Mimi ni muhanga, ngoja nikujibu.Nguo nyingi za wanawake hazina mifuko je simu inatumbukiaje chooni?
Pole sana mkuu.Mimi ni muhanga, ngoja nikujibu.
Hiyo siku nimevaa skin jeans.. nikaweka simu mfuko wa nyuma. Nikasahau kabisaaa kwamba nina simu huko mfukoni.
Nikaingia choo cha huko nilikokuwa.. cha kuchuchumaa.
Nashusha jeans simu dubwiii π€£
Jeezyy, nikatoka kutafuta gloves, nikavaa nikaitoa. Good luck simu ni waterproof, so haikudhurika.
Kwa huyo wako yawezekana kabisa katumbukiza. Au pia anakupanga ππ
mPaka gloves,wengine huwa tunatoa hvyo hvyo hata kama ni sabuniMimi ni muhanga, ngoja nikujibu.
Hiyo siku nimevaa skin jeans.. nikaweka simu mfuko wa nyuma. Nikasahau kabisaaa kwamba nina simu huko mfukoni.
Nikaingia choo cha huko nilikokuwa.. cha kuchuchumaa.
Nashusha jeans simu dubwiii π€£
Jeezyy, nikatoka kutafuta gloves, nikavaa nikaitoa. Good luck simu ina waterproof, so haikudhurika.
Kwa huyo wako yawezekana kabisa katumbukiza. Au pia anakupanga ππ
π€£π€£ choo? Sio mtumiaje pekee? Nitumbukize tu mkono jamani.. sikuwezamPaka gloves,wengine huwa tunatoa hvyo hvyo hata kama ni sabuni
soma jina lake kwanza ndo ubishaneπ€£π€£ choo? Sio mtumiaje pekee? Nitumbukize tu mkono jamani.. sikuweza
Unalokota mpk sabuni! Umetisha..
Nishapoa mwayaPole sana mkuu.
wagumu wanapenda kujitesa π€£soma jina lake kwanza ndo ubishane
DepalMimi ni muhanga, ngoja nikujibu.
Hiyo siku nimevaa skin jeans.. nikaweka simu mfuko wa nyuma. Nikasahau kabisaaa kwamba nina simu huko mfukoni.
Nikaingia choo cha huko nilikokuwa.. cha kuchuchumaa.
Nashusha jeans simu dubwiii π€£
Jeezyy, nikatoka kutafuta gloves, nikavaa nikaitoa. Good luck simu ina waterproof/ water- resistant so haikudhurika.
Kwa huyo wako yawezekana kabisa katumbukiza. Au pia anakupanga ππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahmPaka gloves,wengine huwa tunatoa hvyo hvyo hata kama ni sabuni
Pole na hongeraMimi ni muhanga, ngoja nikujibu.