Rayvanny wa jamiiForums
Senior Member
- Apr 7, 2023
- 132
- 351
Mkuu Nimeshahudhulia Harusi 21 Hadi Sasa Toka Nilivyoanza Kutumia Jamiiforums
Zinazo survive ni ngap mpaka saiv?
Tunaoa kila siku.Naamini kuna watu humu huwa wanaona kimya kimya alafu ni member wenzetu tu, hapa na tupo nao kwa miaka mingi lakini mbona hatupeani mialiko ya harusi? Au wana jamiiforums huwa amuowagi au kuolewa
Wanahofia kupoteza anonymity...mbona hatupeani mialiko ya harusi?
Ukihitajika utaitwa Mkuu [emoji28][emoji28][emoji28]
Huu msemo imenibidi tu niutumie utamfaa mtoa mada.Ukiitajika utaitwa na hapa ipo.
πHuu msemo imenibidi tu niutumie utamfaa mtoa mada.
Ni kweli akihitajika ataitwa awe mpole tu[emoji28]
KumbeKama hujapewa kadi ya mualiko ujue huna umuhimu
Na wewe harusi yako itakuwa lini kakaMkuu Nimeshahudhulia Harusi 21 Hadi Sasa Toka Nilivyoanza Kutumia Jamiiforums
Sasa demu aliolewajwe na jamaa kwasababu kabla ya harusi kulikuwa na uchumba inamaana hakuona jamaa hana hela hadi ndoa?Wanachokutananacho ni tofauti na uhalisia.
Jamaa alichomeshwa mahindi kwa kusubiri matako ya babe yakauke na babe nae akagundua jamaa hana pesa kama alivyokuwa anajikosha.