🤣🤣🤣🤣Kutokufanya vizuri afanye mchezaji, lawama ziende kwenye timu aliyotoka... Toooooka hapa na meno yako ya kuungua
AahaaaUsikute fey anajitetea kua kalogwa alikotoka.!!
Hahahahahahahahahahaha......
Ongelea wooote wala sitakupinga, lakini kama ni Feisal ndo sababu ya huu Uzi nitakataa. Huyo karogwa na Jemadari Said. Kupandishwa hadhi asiyokuwa nayo na kudhani yeye ndo alikuwa nguzo Kuu ya Yanga ilikuwa ni kujilisha upepo.Hii timu ina vigagula ambao wanajitahidi kufanya yao ili mchezaji aliyekuwa timu yao akaamua kuondoka asifanye vizuri.
Na mashabiki wote wangefurahia sana kuona wachezaji wote waliohama timu wanaharibikiwa.
Kwanini mnakuwa na roho mbaya namna hii?
Sisi tumembariki Mayelle, ona anavyofanya vizuri na tunampa support?Hii timu ina vigagula ambao wanajitahidi kufanya yao ili mchezaji aliyekuwa timu yao akaamua kuondoka asifanye vizuri.
Na mashabiki wote wangefurahia sana kuona wachezaji wote waliohama timu wanaharibikiwa.
Kwanini mnakuwa na roho mbaya namna hii?