Hivi huwa mnapata raha gani kuwaharibia wachezaji wanaohama timu yenu?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Hii timu ina vigagula ambao wanajitahidi kufanya yao ili mchezaji aliyekuwa timu yao akaamua kuondoka asifanye vizuri.

Na mashabiki wote wangefurahia sana kuona wachezaji wote waliohama timu wanaharibikiwa.

Kwanini mnakuwa na roho mbaya namna hii?
 
Ongelea wooote wala sitakupinga, lakini kama ni Feisal ndo sababu ya huu Uzi nitakataa. Huyo karogwa na Jemadari Said. Kupandishwa hadhi asiyokuwa nayo na kudhani yeye ndo alikuwa nguzo Kuu ya Yanga ilikuwa ni kujilisha upepo.
 
Hii timu ina vigagula ambao wanajitahidi kufanya yao ili mchezaji aliyekuwa timu yao akaamua kuondoka asifanye vizuri.

Na mashabiki wote wangefurahia sana kuona wachezaji wote waliohama timu wanaharibikiwa.

Kwanini mnakuwa na roho mbaya namna hii?
Sisi tumembariki Mayelle, ona anavyofanya vizuri na tunampa support?

Ona tulivyo mbariki Nonda Shaaban, mafanikio yake yakaishangaza dunia.

Simba sasa, hata kumzika Mafisango walishindwa kununua tiles, ona kaburi la Mafisango

1694314040077.png
 
Back
Top Bottom