Hivi huwa mnatumia vigezo gani kuthibitisha kuwa fulani ni mchawi au analoga?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Morng guys

I have some of question waungwana hivi huwa mnatumia vigezo gani kuthibitisha kuwa fulani ni mchawi au analoga?

Na je uchawi kama kweli upo kwanini watu wanatumia kwa kujificha nataka kujua hilo tu
 
Wachaw ndo huwa wanauza siri za wenzao,kwahyo na sisi wanazengo tunapitia humo humo

Ila wachawi wengi wana sifa hz:-
-wanapenda kusali sana
-Wanajitoa sana kusaidia wenzao
-ni wepesi kumzoea mtu
-ni watu masikini

Kweli wewe utadumu sana

Kwahio masikini wote wachawi au wale vikongwe?
 
Wachaw ndo huwa wanauza siri za wenzao,kwahyo na sisi wanazengo tunapitia humo humo

Ila wachawi wengi wana sifa hz:-
-wanapenda kusali sana
-Wanajitoa sana kusaidia wenzao
-ni wepesi kumzoea mtu
-ni watu masikini
wengi wao ni masingle yaani hawawezi kuishi na wenza, na kama akiishi nae ujue ndio wale wale.
utakuta super mom amekuwa divorced 3 fu#kn times,
 
HAHAHA HAHAHA HAHAHA lkn mbona kama hizi sifa za hao wachawi ni nzuri sana ukiacha hiyo yamwisho?
yeye akiwa masikini ? je anakuwa mzigo kwako?

Natamani nicheke tena hapa mtu aje kuleta sifa za wachamungu na wachungaji hapa?

plot twist uwenda...........
 
Mchawi ukiwa na ugomvi naye ukaja juu yeye atashuka chini hata kama amekuzidi umri vipi, atakuwa mkimya, sababu anajua atamalizana na wewe katika roho.

Ukihitilafiana na mtu akakwambia UTAONA, weka 70%+ kwamba huyo ni mchawi.

Wanapenda ibada sana kama sio ibada wanapenda sana kuongelea mambo ya Mungu.

Mchawi wakati mambo yako yanaanza kuharibika anakuwa pembeni, yakifika kilele cha kuharibika anajifanya anakuonea huruma na kukushauri na hapo kabla atajifanya anakuambia fulani na fulani ni maadui zako. Kumbe mhusika ni yeye
 
wengi wao ni masingle yaani hawawezi kuishi na wenza, na kama akiishi nae ujue ndio wale wale.
utakuta super mom amekuwa divorced 3 fu#kn times,
nimecheka kwa nguvu loooh, kwa hiyo single moms wote ni wachawi jamani?

teh teh teh teh
 
Mchawi ukiwa na ugomvi naye ukaja juu yeye atashuka chini hata kama amekuzidi umri vipi, atakuwa mkimya, sababu anajua atamalizana na wewe katika roho.

Ukihitilafiana na mtu akakwambia UTAONA, weka 70%+ kwamba huyo ni mchawi.

Wanapenda ibada sana kama sio ibada wanapenda sana kuongelea mambo ya Mungu.

Mchawi wakati mambo yako yanaanza kuharibika anakuwa pembeni, yakifika kilele cha kuharibika anajifanya anakuonea huruma na kukushauri na hapo kabla atajifanya anakuambia fulani na fulani ni maadui zako. Kumbe mhusika ni yeye
unaposema wanapenda mambo ya MUNGU maanayake ni kinyume cha mambo ya kichawi kwaiyo ni opposite.

mimi ninaweza tafsiri kuwa ni wanafiki.
Tusiseme kuwa kupenda mambo ya MUNGU NI UCHAWI, ila wachawi ni wanafiki yes Nakumbuka Uncle MSHANA JR aliwahisema wachawi huwa wanafanya kinyume yaani opposite ya yale wanayoyasema.
 
nimecheka kwa nguvu loooh, kwa hiyo single moms wote ni wachawi jamani?

teh teh teh teh
Hapana!
nimemaanisha hata mwanaume pia si wanawake tu. ila mtu mwenye tabia za kichawi ni ngumu kuform bond na mtu asiye na hayo mambo.
ni mtazamo wangu tu.

NGOJA NIKUULIZE UNADHANI NGUVU HASI NA CHANYA ZINAWEZA KULALA KITANDA KIMOJA KAMASIYO MAPIGANO YA VITA ZA KIROHO UCKU. Thus why
 
haahhaha mbona umenichanganya hapa, mimi tangia nikiwa vidudu najua hasi na chanya zinapendana sana, zinavutana.

Labda ufafanue useme katika ulimwengu wa roho.

asante and have a nice weekend.
 
Kwaiyo unaamini inawezekana mimi nikawa mchawi nikaishi na mke ambae ni mcha mungu pasipo kuwa na migoro wala vurugu zozote?

Binadamu ni viumbe wa kiroho ,
wewe ni energy
wapo wenye negative enegy
wapo wenye positive enegy

najitahidi niweke kwa urahisi nashindwa . unataka nianzie kwenye protons electrons na neutrons mpaka tufike kwenye aura life force , Dang i can't

Ngoja uwenda kunawajuzi wa mambo wanajua kuiweka vema ila mimi hivyo ndivyo nina amini.
 
Morng guys

I have some of question waungwana hivi huwa mnatumia vigezo gani kuthibitisha kuwa fulani ni mchawi au analoga?

Na je uchawi kama kweli upo kwanini watu wanatumia kwa kujificha nataka kujua hilo tu
Mchawi anamjua mchawi mwenzie
 
Back
Top Bottom