Hivi huwa mnatumia vigezo gani kuthibitisha kuwa fulani ni mchawi au analoga?

Hivi huwa mnatumia vigezo gani kuthibitisha kuwa fulani ni mchawi au analoga?

Sasa kama mtu hakupi salamu, asubuhi asubuhi amenuna, akiulizwa kitu kiko sehemu gani, anatoa ishara kwa kuuvuta mdomo. Utashindwaje kumtuhumu uchawi?
 
Back
Top Bottom