Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mfano kama wewe tayari ni mchawi
Wanatumiaga ujinga
Wachaw ndo huwa wanauza siri za wenzao,kwahyo na sisi wanazengo tunapitia humo humo
Ila wachawi wengi wana sifa hz:-
-wanapenda kusali sana
-Wanajitoa sana kusaidia wenzao
-ni wepesi kumzoea mtu
-ni watu masikini
Hata nabii Geodavie huwa anaulaani sana umasikinKweli wewe utadumu sana
Kwahio masikini wote wachawi au wale vikongwe?
wengi wao ni masingle yaani hawawezi kuishi na wenza, na kama akiishi nae ujue ndio wale wale.Wachaw ndo huwa wanauza siri za wenzao,kwahyo na sisi wanazengo tunapitia humo humo
Ila wachawi wengi wana sifa hz:-
-wanapenda kusali sana
-Wanajitoa sana kusaidia wenzao
-ni wepesi kumzoea mtu
-ni watu masikini
HAHAHA HAHAHA HAHAHA lkn mbona kama hizi sifa za hao wachawi ni nzuri sana ukiacha hiyo yamwisho?Wachaw ndo huwa wanauza siri za wenzao,kwahyo na sisi wanazengo tunapitia humo humo
Ila wachawi wengi wana sifa hz:-
-wanapenda kusali sana
-Wanajitoa sana kusaidia wenzao
-ni wepesi kumzoea mtu
-ni watu masikini
nimecheka kwa nguvu loooh, kwa hiyo single moms wote ni wachawi jamani?wengi wao ni masingle yaani hawawezi kuishi na wenza, na kama akiishi nae ujue ndio wale wale.
utakuta super mom amekuwa divorced 3 fu#kn times,
unaposema wanapenda mambo ya MUNGU maanayake ni kinyume cha mambo ya kichawi kwaiyo ni opposite.Mchawi ukiwa na ugomvi naye ukaja juu yeye atashuka chini hata kama amekuzidi umri vipi, atakuwa mkimya, sababu anajua atamalizana na wewe katika roho.
Ukihitilafiana na mtu akakwambia UTAONA, weka 70%+ kwamba huyo ni mchawi.
Wanapenda ibada sana kama sio ibada wanapenda sana kuongelea mambo ya Mungu.
Mchawi wakati mambo yako yanaanza kuharibika anakuwa pembeni, yakifika kilele cha kuharibika anajifanya anakuonea huruma na kukushauri na hapo kabla atajifanya anakuambia fulani na fulani ni maadui zako. Kumbe mhusika ni yeye
Hapana!nimecheka kwa nguvu loooh, kwa hiyo single moms wote ni wachawi jamani?
teh teh teh teh
haahhaha mbona umenichanganya hapa, mimi tangia nikiwa vidudu najua hasi na chanya zinapendana sana, zinavutana.Hapana!
nimemaanisha hata mwanaume pia si wanawake tu. ila mtu mwenye tabia za kichawi ni ngumu kuform bond na mtu asiye na hayo mambo.
ni mtazamo wangu tu.
NGOJA NIKUULIZE UNADHANI NGUVU HASI NA CHANYA ZINAWEZA KULALA KITANDA KIMOJA KAMASIYO MAPIGANO YA VITA ZA KIROHO UCKU. Thus why
Kwaiyo unaamini inawezekana mimi nikawa mchawi nikaishi na mke ambae ni mcha mungu pasipo kuwa na migoro wala vurugu zozote?haahhaha mbona umenichanganya hapa, mimi tangia nikiwa vidudu najua hasi na chanya zinapendana sana, zinavutana.
Labda ufafanue useme katika ulimwengu wa roho.
asante and have a nice weekend.
Mchawi anamjua mchawi mwenzieMorng guys
I have some of question waungwana hivi huwa mnatumia vigezo gani kuthibitisha kuwa fulani ni mchawi au analoga?
Na je uchawi kama kweli upo kwanini watu wanatumia kwa kujificha nataka kujua hilo tu