The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Na kwa sababu wanaapa kutunza siri za Baraza la Mawaziri, hakuna sababu ya sisi kujua wanakaa lini na wapi maana yake hata vikao pia ni vya siri.Au Zuhura hands hicho kiapo?
Naombeni wanaoelewa sana mambo haya wanisaidie kufahamu. Inavyoonekana kikao cha Baraza la mawaziri huwa ni cha siri. Kinachonisumbua ni kwamba mara nyingi wakikutana kwa kikao tunajulushwa kuwa wamekutana.
Na kwenye hilo Baraza huwa mambo gani hujadiliwa na vikao vya siku ngapi?
Wana azimia nini ?Utekelezaji wa maazimio ya vikao ndio Jambo la msingi
Balaza la mawaziri la Tanzania lina kazi kupokea maelekezo ya rais na kushangilia kila kitu anachosema. Sio balaza la kujadili hoja na kutoa ushauri kama ilivyo kwenye nchi za kidemokrasiaNaombeni wanaoelewa sana mambo haya wanisaidie kufahamu. Inavyoonekana kikao cha Baraza la Mawaziri huwa ni cha siri. Kinachonisumbua ni kwamba mara nyingi wakikutana kwa kikao tunajulishwa kuwa wamekutana.
Na kwenye hilo Baraza huwa mambo gani hujadiliwa na vikao vya siku ngapi?
Najiuliza tu kwa nini tunajulishwa kuwa wamekutana na
Sasa ikiwa wanayojadili ni siri sasa tunajulishwa ili iweje
Kipara bila akili ni sawa na kovu tuSi vibaya kujua kuwa wanakutana
..
Kipara kipya 23!
Yuko honey moonZuhura Yunus afanye kazi yake