Hivi, huwa ukiongea peke yako unaongea na nani?

Mbona simba yupo makini sana,kwenye mitego yake,familia yake,kujilinda nk .simba hana utashi?? au utashi ni nini
Ni kweli kabisa. Utashi ni uwezo wa kiroho (spiritual will power) wa kufanya maamuzi kwenye kila jambo..kuna utashi wa kibinadamu na kuna utashi wa wanyama.. Nilichokosea kwenye jibu langu ni kutomalizia kuandika utashi wa kibinadamu
 
Tafuteni hiki kitabu
 

Attachments

  • _ (2).jpeg
    65.9 KB · Views: 16
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…