fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
Mbona simba yupo makini sana,kwenye mitego yake,familia yake,kujilinda nk .simba hana utashi?? au utashi ni niniAliyekosa utashi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona simba yupo makini sana,kwenye mitego yake,familia yake,kujilinda nk .simba hana utashi?? au utashi ni niniAliyekosa utashi
Ni kweli kabisa. Utashi ni uwezo wa kiroho (spiritual will power) wa kufanya maamuzi kwenye kila jambo..kuna utashi wa kibinadamu na kuna utashi wa wanyama.. Nilichokosea kwenye jibu langu ni kutomalizia kuandika utashi wa kibinadamuMbona simba yupo makini sana,kwenye mitego yake,familia yake,kujilinda nk .simba hana utashi?? au utashi ni nini