Hivi, huwa ukiongea peke yako unaongea na nani?

Mshana fafanua Hapa ulimwengu wa ndani hii ni nafsi ya ndani sio
Nikujibu kidogo ninachokijua; amemaanisha ulimwengu wa ndan ni hiv ndan jins ulivyo inakuonyesha nje jinsi ulivyo;.

Tunaita ulimwengu wa roho ndio inakupa ww kuwa ktk ulimwengu wa kimwil.
Ulimwengu wa roho ni halis kuliko ulimwengu wa mwil.

Ndio maana mtu unaweza ota kuwa unaumwa ktk ndoto halafu baada ya muda mfupi waweza umwa kwel;

Ujue ulisha umwa ktk utu wako wa ndani sema bado tu kujidhihirisha ktk utu wa mwil; usipo jua kutangua na kubatilisha hayo kabla hayajatokea lazima utaumwa kwel

Ila ukiwah omba huto umwa.
 

Imenigusa sana kiasi cha kuamua kuikopi... Thanx Mshana jr
 
somo zuri
kumbe ni kitu cha kawaida, nilifikiri ni dalili za uchizi
Yaweza kusababisha uchizi pia kama ukijizungumzisha to the extreme. . . ndio maana nikaonya mapema kuwa uwe makini unapoongea mwenyewe kwakuwa unajisikiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…