Hivi huwa unajibuje akikwambia ''I love you'' mbele ya wazazi wako?

Hivi huwa unajibuje akikwambia ''I love you'' mbele ya wazazi wako?

Upo wap mm nipo hapa naogelea
cfba7b7c11655965c604e9a291325d3d.jpg
uwiiii, walidondokea humo ama? pole zao inabidi wakaoge na maji ndoo kumi
 
Aisee kuna manzi balaa kuna manzi angu alinipigia simu nipo, kwa watu nikawa najikanyaga kujibu, manzi akafura balaa huku akiuliza yeye ni nani kwangu.
Hahaha alafu maswali yao yanakuwa nimagumu kuyajibu public, na hata ujitahidi majibu huwa hayageuziki
 
Tulimtunga majina kibao ajili ya tabia zakee..
Jamaa alikua ananichunga huyoo ashawahi kunilaza nje kisa kuniona natembea na dem..
Duuuu! Mtoto wa kiume kuchungwa haipendezi, mwache huru akapate experience ya maisha

Small minded people won't understand
 
Mama yangu bana Ananipenda na kunidekeza sana..
Akiiona msichana mzuri kanisani/sokoni/Mtaani basi ananipigia simu kua kuna binti kampenda nimfuate..
Alishawahi nitongozea rafiki mtoto wa rafiki yake baba mpaka hv namsubiri atoke chuo nijilie vyanguu
Mapenzi yenu bhana!

I wish to have a baby[emoji18] [emoji18] [emoji18]

Small minded people won't understand
 
Alinichukia ila hakuniambia akawaambia rafiki zake ndio wakaniambia..
Mara ya pili tukakutania mlangoni mwa Guest yy anatoka mm naingia kidogo nifwee hapo hapo
Baba'ko msela sana inaonekana
Humwambiagi mamako?

Small minded people won't understand
 
Back
Top Bottom