uwiiii, walidondokea humo ama? pole zao inabidi wakaoge na maji ndoo kumiUpo wap mm nipo hapa naogelea
Acha ushamba ushapajua hapa ni wapi?uwiiii, walidondokea humo ama? pole zao inabidi wakaoge na maji ndoo kumi
na kweli ushamba mzigo, wewe nawe huna hata siri unaniumbua kwa nguvu hivyo? hata sipajui kabisaAcha ushamba ushapajua hapa ni wapi?
Hahaaaaa muulize Stunter maana kashafika hapona kweli ushamba mzigo, wewe nawe huna hata siri unaniumbua kwa nguvu hivyo? hata sipajui kabisa
mbona ulisema humjui? acha hizo basiHahaaaaa muulize Stunter maana kashafika hapo
Kumjua Nani we muulize hapo kashafikambona ulisema humjui? acha hizo basi
Hahaha alafu maswali yao yanakuwa nimagumu kuyajibu public, na hata ujitahidi majibu huwa hayageuzikiAisee kuna manzi balaa kuna manzi angu alinipigia simu nipo, kwa watu nikawa najikanyaga kujibu, manzi akafura balaa huku akiuliza yeye ni nani kwangu.
What that umesikia sauti yangu?sawa nimekusikia.
asante
maneno yako nimeyapata au nimekusoma lolWhat that umesikia sauti yangu?
kumbe umekuja ukweli? beibiiiiiMond upo forodhani sasahivi?( I know watu hawajaanza kuruka
hahahahahahahahhaHahahah kama ni mtego nimenasa hahah... Nilikuwa sijaziona chatting zenu za nyuma,
Duuuu! Mtoto wa kiume kuchungwa haipendezi, mwache huru akapate experience ya maishaTulimtunga majina kibao ajili ya tabia zakee..
Jamaa alikua ananichunga huyoo ashawahi kunilaza nje kisa kuniona natembea na dem..
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Hajasaidia chochote, yy mwenyewe kitombi tushawahi changia demu
hio hio[emoji23][emoji23][emoji23]sio PDF ? 🙂
Mapenzi yenu bhana!Mama yangu bana Ananipenda na kunidekeza sana..
Akiiona msichana mzuri kanisani/sokoni/Mtaani basi ananipigia simu kua kuna binti kampenda nimfuate..
Alishawahi nitongozea rafiki mtoto wa rafiki yake baba mpaka hv namsubiri atoke chuo nijilie vyanguu
Wajifunze kulisema neno bila aibu.Sasa mambo ya i love you mbele ya watoto ya nini
Baba'ko msela sana inaonekanaAlinichukia ila hakuniambia akawaambia rafiki zake ndio wakaniambia..
Mara ya pili tukakutania mlangoni mwa Guest yy anatoka mm naingia kidogo nifwee hapo hapo